Ukurasa huu unasimamiwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa ajili ya kutoa taarifa za maendeleo ya Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR nchini🇹🇿
Daraja la Malagarasi ni alama muhimu katika mradi wa SGR Awamu ya 2, kipande cha Sita kati ya Tabora na Kigoma. Daraja hili lenye urefu mita 465 (zaidi ya viwanja vinne na nusu vya kuchezea mpira wa miguu) likibebwa na nguzo 17 ujenzi wake umefikia asilimia 80.
MAHOJIANO YA KAIMU MKURUGENZI MKUU TRC NA ZBC KATIKA KIPINDI CHA ASUBUHI NJEMA
Mada; Maendeleo ya mradi wa SGR na shughuli za uendeshaji wa treni za mwendokasi (SGR)
https://t.co/RFLa9P1rWI