Muda...
Katika maisha MACHAGUZI yote yanapaswa kuendana na MUDA. Mfano; ukichagua kua MJINGA, ni kwa muda gani? Ukichagua KUOMBA MSAADA ni kwa muda gani? Ukichagua kuwa MSAADA ni kwa muda gani?...
Machaguzi yasiyo na MUDA na KIKOMO ni UTUMWA uliokithiri.