Kama kijana wa miaka 20-30 karne hii hutakiwi kuwa na Geto lenye choo Ndani utabweteka🙌umri uo sio wa ku relax wala kula matunda ya mishe zako ni umri wa mchaka mchaka na ikiwezekana usiwe na choo kabisa…
Kurasa Wa 6 wa Kitabu Cha 50Cent.
"Hustle Harder, Hustle Smarter"
...
Amezungumzia Kuhusu
"Perception" Inavyo Weza Kushape Reality,
Ya Maisha Yako...
Hiki Kitabu Nimeshakisoma x9 Sasa,
Nimemeza Madini Yote Ya Humu,
😃
...
Kama MWANAUME, KIJANA WA KIUME!
Usife Kabla Hujakisoma!
👇🏾
Kwasababu Sisi ni ROHO,
"Yaani Roho Inayoishi kwenye Mwili"
Mtu Akipata Mlango Wa Kuingia,
Anaweza Kukudhuru,
Bila Kukugusa Physically.
...
Na Ni Anatumia Maneno Yenye Dhamira Tu!
"Words with Intentions"
...
Jitahidi Sana Mtu "AKIKUTAMKIA" Mabaya,
Usiyakubali.
Kutamka Pekee, ni Kuumba Chochote.
Mapema Utakubaliana na Andiko Hili,
Ndio Utakuwa umeJiokoa,
Kwenye Hiyo Dhahama!
...
Be safe👇🏾
Maisha Yako Ya Nyuma,
(Your Past Life)
Yana Mtindo Wa Kusaka,
Akili Yako Kwa Wakati Uliopo!
…
Maisha Yako Ya Nyuma,
Yanaishi Tu Kwenye,
AKILI Yako Kupitia IMAGINATION,
Ila Kiuhalisia Maisha Hayo Yalishakufa!
…
^Abracadabra^
This Day; Remember
• Speak Life Into Your Life,
• The Power is Within You,
• You Don`t Have To Chase,
• Attract Thing To You,
• Believe In Yourself,
• Speak Into Existence,
• Its All Within You!
• Let Go Of Everything,
• You Are More Than You Think,
"Kaeni Ndani Yangu, Nami Ndani Yenu"
Kwanini Unamtafuta Mungu Nje Yako?
Mungu Tupo Ndani Yako?
Unalijua Hilo?
Ok,
"Kila kitu kinachokuhusu wewe Kipo Ndani Yako"
Jitizame...
Wakati Unajiandaa Kuingia,
Kitandani Usiku wa Leo…
Au Kama Una Shift Ya Usiku (Kikazi),
Ukitoka Ndio Utalala…
Sasa Kabla Hujalala…
Pata Dakika Zako 2,
Kumsikikiza Huyu M-Nigeria.
…
👇🏾