Hivi huu mtindo wa madalali kulipwa mwezi mmoja ulitokea wapi??
Inaboa sana unakuta unaenda zako kuchek room halafu bajeti yako mfukoni miezi mitatu halafu dalali nae anaingiza mwezi wake mmoja, Fazaka 😂🚮
Driving the same car for over 10 years is normal.
Using the same phone until it breaks and packs up is normal.
Taking food to work everyday is absolutely normal.
Repeating the same clothes and shoes is very normal.
Saying no to things you can’t afford is very normal.
Be normal.
Ila Mungu anatupenda sana, fikiria hali uliyo kua nayo wakati mwaka unaanza na hali uliyo nayo saiv mwaka unapo ishia, kama sio rehema za Mwenyezi Mungu ni nini???
#Lordiamgrateful🙏
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania ambayo leo imetangaza kubadili jina lake kutoka TIGO hadi kuitwa jina jipya la YAS ( @yas_tanzania_ ), imetangaza mabadiliko ya jina kwenye bidhaa yake ya TIGO PESA ambayo kuanzia leo itakuwa ikiitwa MIXX BY YAS.
Mabadiliko haya yametangazwa na Uongozi wa Kampuni hiyo katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Dar es salaam leo mchana ambayo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Kampuni hii kubadilishwa jina katika miaka yake yote thelathini ya huduma bora Nchini Tanzania ambapo awali ilikua ikiitwa Mobitel (BUZZ), kisha TIGO na sasa ni YAS !
Taarifa zaidi kuhusu mabadiliko haya na vitu vyote ambavyo Wateja wa YAS wanatakiwa kufahamu nitaendelea kuviweka hapa katika kurasa za millardayo. #MillardAyoUPDATES
Hivi inakuwaje mtu unakula, unalala vizuri kabisa yani inshort, Unaenjoy na unajua kabisa kuna kiumbe chako sehemu umekitelekeza, humuudumi mtoto wa damu yako! Au watu wanalogwa 😂 maana ni maajabu....