@Muguongo4@Maina_Bajie weka cctv kwa corridor...thats okay..kwa their cubicles tusione bwana..unaeza ingia bedroom ya your daughter tu hivi hivi kaka if you had one? kutoka form 1, you were still a kid, mpaka form 4, nani angeingia maskani yako..mathee alikua anakuitiachakula na uko karibu kwa ngombe
@Muguongo4@Maina_Bajie naelewa kaka lakini pia watoto upendakutembea sana uchikwanza kwa hizo dorms..sidhani it is okay kurecord watoto bana na haujui nani ako na access ya hizo harddisks.
@Muguongo4@Maina_Bajie na kama you, by chance, went through boarding na highschool from where i am thinking, show me one highschool which has doors from thuci to ntunyiri
@Muguongo4@Maina_Bajie the percieved cctvs zinaonesha mpaka kwa cubices ndani kaka... and no siezi patana na yeye kwa corridor akiwa naked. same way huezi ona matako ya babako kwa nyumba lakini pale highschool i bet uliona matako mob za boys.