Mwanasayansi maarufu dunianii, Stephen Hawking amefariki dunia leo tarehe 14 march 2018, ambayo ni siku kuadhimisha siku ya Pi (3.14) na pia ni siku aliyozaliwa Mwanasayansi mwingine mashuhuli Albert Einstern. Unaweza kufahamu mengi zaidi kuhusu Hawking https://t.co/OU0y9YosnI
#Scholarship seats for the Tanzanians in the specilization of Masters of Public Health (MPH), tenable at TSINGHUA University. Deadline for applying is March 26, 2018. For more details https://t.co/kcoXWHu5xh
The Fullbright Foreign Student Program for 2019 cycle are open. The deadline for applying is 1st April 2018. . For more details including eligibility requirements and how to apply visit https://t.co/II44Tu6jUZ