Mhashamu Baba Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa:
Nimepokea kwa furaha kubwa kuteuliwa kwako na Baba Mtakatifu Fransisco, kuwa Kardinali wa Tatu katika nchi yetu ya Tanzania. Uteuzi huu unathibitishwa na maneno kutoka Waraka wa Mtume Paulo kwa Warumi (8:28) kwamba: