Muda ulipofika ndege walinyamaza na hata sauti ya mjusi akitembea kwenye Kingo za nyumba hazikusikika
Hivo hivo ndivo mungu anavowaona wale wapambanaji muda wako ukifika hata wachawi watashindwa kukuona kwenye vyungu vyao
@CharlesChelsea_ Hii game toka mwanzo huyu kocha kakosa mbinu anataka kutumia counter attack na mshambuliaji mmoja kweli na kashaona toka nyuma mbinu imefeli hataki kubadilika
Basi tukubaliane kwenye suala la utopolo kununua mechi mteja wao wa kwanza ni Kolo
Kama kolo mwenye 30B bank kauza game how comes Namungo anayetegemea mapato ya halmashauri ashindwe kuuza?
AZAM BINGWA🔥