Un but de plus pour Kylian Mbappé. Contre le racisme cette fois. Tout mon soutien. Quand les mots salissent, nos valeurs répondent : dignité, respect, fraternité. @KMbappe 👏
Madame Celeste Amarilla,
Vous êtes une femme méprisable et indigne de sa fonction.
Vous ne représentez pas le Paraguay, ce pays qui a transpiré la passion et l’honneur tout au long de la compétition. Par votre inconscience et votre racisme décomplexé, le monde entier a déjà oublié le parcours et l’effort historique que vos joueurs ont réalisés durant cette coupe du monde pour laisser place à une dame incompétente donnant la pire image possible de son pays.
Je ne laisserai jamais aux gens comme elle, la liberté de laisser propager leur haine et leur racisme à travers le monde.
Tai hashindi vita dhidi ya kunguru kwa kupigana. Kunguru anaweza kumfuata, kumchokoza au hata kutua mgongoni mwake, lakini tai hachoki kupambana naye.
Badala yake, tai hupaa juu zaidi angani. Kadiri anavyopanda, kunguru hushindwa kustahimili hewa ya juu na hulazimika kurudi chini, huku tai akiendelea na safari yake.
Funzo ni kwamba si kila ukosoaji au changamoto inahitaji majibizano; wakati mwingine ushindi ni kuinuka juu ya kelele na watu wenye mawazo hasi.
Maridhiano hayapaswi kuishia ndani ya vyama vya siasa pekee. Mpasuko uliopo hauko katika vyama vya siasa tu, bali upo pia katika taifa zima kati ya Serikali na wananchi. Hivyo basi, wananchi wasichukuliwe kama wanasiasa.
Mmarekani kasema sasa ni wakati wa kuanza kwa mazungumzo ya kutafuta maridhiano baina ya SERIKALI na VIONGOZI WA UPINZANI. Kama wewe ni kiongozi kwenye upinzani, huu ni wakati wa kuchukua jukumu la UONGOZI. Wale ambao hatuna vyama tuwape nafasi wanasiasa wafanye kazi yao.
Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.