Dpp watanzania cyo wajinga s, 91 ya criminal procedure act iko wazi Sana mamlaka yako ni kuandaa nole suala la namna ya kuwatoa magereza ni la mahakama kwa kuandaa notice ambayo ni remove order ,nole ni nyaraka ya kuitaarifu mahakama kua huna haja ya kuendelea na shaur,