https://t.co/k3KpapuoSK
WATOTO WENYE SIMULIZI ZA MAUMIVU NA MATUMAINI, AMBAO WAMEPITIA MADHIRA AMBAYO NI KOVU LA MAISHA. LAKINI KWA WATOTO HAWA KUISHI KATIKA MAZINGIRA YA AMANI BADO NI KIPAUMBELE KIKUBWA CHA MAISHA YAO YA KILA SIKU AMBAYO YANAHITAJI FARAJA NA UPENDO.
Sahara Media Group kupitia vyombo vyake ambavyo ni ; Star Tv, RFA na Kiss FM Tumepata nafasi ya kutembelewa na Msemaji wa Serikali, Bwana Thobias Makoba ikiwa ni pamoja na kufuatiwa na mazungumzo juu ya maendeleo ya Tasnia yetu ya habari.
Utafiti wa 2019 ulionesha changamoto kubwa za usawa wa kijinsia katika vyombo vya habari. Baraza la Habari lime hukuwa hatua kupitia mafunzo ya wanawake katika vyombo vya habari#WanawakeKatikaHabari #VyomboVyaHabari"
Kisali Simba, mhariri wa vipindi kutoka Star TV, akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Ernest Sungura, baada ya kuhitimu mafunzo ya siku 4. Mafunzo haya yanalenga kuwajengea uwezo wanawake katika sekta ya habari, kuimarisha ujuzi na uongozi wao.