Tundu Lissu "Kama mnanifanyia hivi mimi mjuzi wa Sheria, mmeniweka gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo."
"Vipi kuhusu Watanzania wasiojua Sheria?" π
So pain ππ
"Mimi nitakwenda mbele yako na kupasawazisha pale palipoinuka; nitaimega milango ya shaba na kuvunja vigingi vya chuma."
Baba, ninakabidhi siku yangu ya leo mikononi mwako; ninaomba utangulie mbele yangu kupasua na kuondoa kila kizuizi kilichosimama kwenye njia yangu.
Amina π€²