Pia watu wachache sana wanatumia email ukiringanisha na wanaotumia namba za simu. Ukitoa mwanachuo, waajiliwa na wasomi.. wengine wote wanatumia namba za simu.Kwa mfano. Mama ntilie nyumbani, huwez kumlazimisha apige kura wakati Hana ata email. Tembelea https://t.co/cdHJMAZ6vk.
Hii inapunguza wizi wa kura hasa mtu anapi tumia email. Mi binafsi na email 21. Nikipiga na uhakika wa kura za kwangu 21. Sasa tukiwa wa 5 tunapiga kura nyingi zaidi
*Features ya kwanza:*
KUHAKIKISHA NAMBA YA SIMU [ PHONE NUMBER VERIFICATION]
mfumo una tumia namba ya simu kupiga kura haina haja ya email. Sasa ili kuzuia fake wapiga kura. Tuna verify namba ya simu kwa kutuma code kwenye namba aliyoweka.
Uchaguzi wa Umma, unajumisha watu wengi zaidi katika jamii. Mfano Mashindano ya vipaji [awards], uchaguzi wa wanafunzi vyuoni mashuleni.
Uchaguzi Binafsi, unajumuisha watu wachache kwenye jamii flani. Mfamo uchaguzi wa Familia na ukoo, uchaguzi wa wanafunzi darasani,
Karibuni.
Scheduled Maintenance Notice
Dear Valued Users,
SIMUVOTE TANZANIA would like to inform you that https://t.co/cdHJMAZ6vk will undergo a short scheduled maintenance period.
⏳ Maintenance Duration: Approximately 2 hours
🕥 Time: From 10:30 PM to 12:30 PM (maximum)