@innobash
2:kwanini sayansi physics wameajiriwa wengi pasipo kuangalia hata,mwaka waa kumaliza na umri kama mlivyosema kigezo maana wengi mliowajiri wamehitimu 2021,
3:Ktk ajira za sayansi asilimia kubwa ni Diploma kwanini na degree ni wachache au nacho kilikuwa kigezo?
@ortamisemitz 2:kwanini sayansi physics wameajiriwa wengi pasipo kuangalia hata,mwaka waa kumaliza na umri kama mlivyosema kigezo maana wengi mliowajiri wamehitimu 2021,
3:Ktk ajira za sayansi asilimia kubwa ni Diploma kwanini na degree ni wachache au kiwango elimu nacho kilitumika .
@ortamisemitz @innobash
Habari ya muda huu kiongozi ,pole na hongera kwa majukumu yakulitumikia taifa ,kazi kubwa unayoifanya tunaiona ,Nina dukuduku na wasiwasi sana na zoezi la ajira ulizotangaza Jana
1:MTU kahitimu 2021 somo kiswahi amepata imekuwaje na wakati kuna watu toka 2015 bado
@SuphianJuma@SuluhuSamia Kaka imefika mahali uone aibu ata kama kusifia huna hata haya ,MTU na elimu yako ulibahatika angalau uisaidie jamii yako unajikomba kula siku, JITAFAKARI?? Maisha yamekuwa magumu kupitiza .
@ortamisemitz Ninaswa katkia mfumo kwa mimi niliyesooma mathematics na informatics ,ukijaza soma la kwanza hesabu kutafuta somo la pili haileti informatics Bali inaleta physics ,chemizmstry na biology he apo Mimi nitajaza somo gani??