WATU AMBAO UKIWAACHA AWAJALI UKIWA NAO KWENYE MAHUSIANO:
1.Wanaume ambao wanabet
2.wanawake wanaocheza vikoba
3.mwanaume mwenye hela
4.mwanaume anayejiona handsome
5.mwanamke anayejiona mzuri
6.single mother
Baba yetu, Mwalimu wetu, kiongozi wetu, mpambanaji wetu.
Anateseka kwa ajili yetu, anapitia moto mkali kwa ajili yetu.
Tundu Lissu yuko tayari hata kukiona kifo kwa ajili yetu
Je sisi Watanzania tuko tayari kufanya nini kwa ajili yake? Hili ndio swali?
Watanzania tusimuangushe Lissu, kama jinsi yeye yuko tayari kufa kwa ajili yetu hata sisi tuwe tayari kwa hilo juu yake… PERIOD!!!!!
🚨PACOME AKIJIBU KUHUSU TETESI ZA KUCHEZEA SIMBA:
“Kila kitu kinawezekana kwenye mpira simba ni team kubwa wanawachezaji wazuri wanampira mzuri wananyonga uku wanabonda lakini Bado namkataba na Yanga.”