Amani huanzia moyoni mwako , amani ya kweli huanzia kwenye kusamehe,moyo ukikosa amani hakuna furaha,chagua kusamehe , kuheshimu na kuishi kwa upendo,amani ya moyo wako ni zaidi ya chochote.
Je! Moyo wako waweza kuvumilia, au mkono wako waweza kuwa hodari, katika siku zile nitakapokutenda mambo? Mimi, Bwana, nimenena neno hili, tena nitalitenda.
Ezekieli 22:14
Heavenly Father, thank You for the gift of this new day. Guide our steps, grant us wisdom, protect our families, bless the work of our hands, and fill our hearts with peace, strength, and hope. Amen.