Ila humu kuna wajinga wengi sana, unakuta mtu anafanyia bullying wanawake,anawadharirisha wanawake halafu anasahau kuwa dada yake ni mwanamke, mama yake ni mwanamke, mke wake ni mwanamke na huenda mtoto wake ni mwanamke pia..