Ukiona post hii kwa timeliness yako ,just Repost🙏
Kama umeamka salama mshukuru mungu lakin hauna guarantee ya kufika jioni bila kutekwa .
#FreeHumpreypolepole
Hata siku moja usipuuzie nguvu ya REPOST yako moja. Ukiona tangazo la biashara popote wewe Repost mteja anaweza kupatikana kupitia hicho ulichofanya na Mungu atakubariki.
Call/Whatsapp 0716006808
TV Available!
Samsung, LG, TCL, Hisense, Haier, Mewe, Blackark, Solarmax, Alyons...
@chapo255@kellytimbarland Watu wanalizwa kwa hio mbinu ya kujua salio wakipiga simu huduma kwa wateja inakua rahis kwao ku pass security test question kirahis coz muamala wa mwisho kaweka yeye na salio analiona
"Nadhani hili suala la tume huru ya Uchaguzi halihitaji hata elimu kuelewa, tukubali ama tukatae ni mfumo unaohitaji mabadiliko makubwa"
No Reform No Election.