Kuwa makini na NENO"I can't live without You"Ili NENO lina uhusiano na ugonjwa wa akili. You can live without her/him.Ukimpenda wakati unaweza kuishi bila yeye ni LOVE/ MATURITY.Samson alifanya kosa hili akaenda Mbinguni akiwa kipofu.
Love is not madness. Love is God
I am deeply saddened to learn of the passing of Her Majesty Queen Elizabeth II. On behalf of all Tanzanians, I send my sincere condolences to the Royal Family and the British people. The Queen will be remembered around the world as a pillar of strength, peace, unity and stability
Nimesikitishwa na vifo vya wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima wawili vilivyotokea leo eneo la Mjimwema, Mikindani, mkoani Mtwara. Natoa pole kwa wote waliopoteza jamaa zao. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema na awajalie majeruhi wapone haraka.
Kuhusu pikipiki: niliomba mkopo wakaniletea uswahili, ndani ya masaa 24 nikaachana na mkopo kwa kuwa muda haukuwa rafiki kwangu, nikaamua kununua hapo hapo kwao. Baadaye nilipohoji mambo ya Simba nikaambiwa nina chuki ya kunyimwa mkopo, nikawa nimepata jibu, kumbe alininyima?😳🤷🏾♂️
Haya @kigogo2014 nimekujibu leo. Waambie wanaokutuma waje wenyewe kama wanataka vita, waambie ninawajua tayari na niliishawasamehe siku nyingi mno kwa kuwa wao wana ndoto kubwa kwenye siasa, mimi sina kwa sasa zaidi ya jimbo langu tu. Waache kuogopa kivuli changu, wafanye kazi!