Aliyekuwa Afisa Habari ACT wazalendo na mgombea wa Ubunge Jimbo la Singida Magharibi 2020, na Mwanachama wa sasa wa CCM, Suphian Juma Nkuwi leo Julai 5, 2022 amejitosa kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea Nchi nzima.