Mothers ni favorite kwa watoto kwakuwa plays to manage emotional part, Madingi huwa wanatuandaa zaidi na ulimwengu in a hard way thus why kuna namna kama inaokeana hawafanyi kazi bora kwenye malezi ila kimsingi that's a real gentle work.
#HappyFathersDay.

Mamlaka nchini Saudi Arabia zimetangaza rasmi kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatano Februari 18, 2026 baada ya mwezi mpevu kuonekana leo Jumanne, Februari 17, 2026.
Kwa mara ya kwanza, teknolojia ya kisasa ilitumika katika Kituo cha Kuchunguza Sudair kusaidia katika kuona mwezi mpevu, huku Kituo kipya cha Kuchunguza Tamir kikiendelea na utamaduni wa muda mrefu wa uchunguzi wa mwezi wa Ufalme chini ya viwango vya kisayansi vilivyoidhinishwa.
#KitengeUpdates
"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the Country. This operation was done in conjunction with U.S. Law Enforcement. Details to follow. There will be a News Conference today at 11 A.M., at Mar-a-Lago. Thank you for your attention to this matter! President DONALD J. TRUMP"
Dear graduates, we know mtaani ni pagumu, ajira hakuna but enjoy it to the fullest...You graduating for the three, four if not five years you put it in the work at university. No one is ever graduated from the street and he/she will never be. Congratulatios is all you deserve.
Live within a means, uchumi ukishuka shuka nao jipange upya, Usilazimishe ku maintain same life standard. Cheza chini, kusanya nguvu....Epuka mtego wa madeni, utavunja hadhi na uaminifu kwa wanaokuamini.
#ElimikaWikiendi
Hata Saa Mbovu kwa Siku inakuwa sawa Mara mbili, ATLAST SOMEBODY WITH A VOICE kasema kitu, Elaboration ya Diamond kuhusu kila mtu kujipambania kaiweka sawa sanaa, KILA MTU YUKO KAZINI, tunadanganyana sana Mitandaoni na kwa ground mambo ni different, Binadamu tuna Unafki tu, ILA๐๐ฝ