“Singida imeanzishwa kwa madhumuni ya maksudi kwa ajili ya Simba kuipunguza nguvu ili kuhakikisha tumepungua kabla ya kukutana na Mpinzani wetu, Singida imeanzishwa kwa ajili yetu hawawezi kusema ila ipo hivyo na mechi yetu dhidi ya Singida ni zaidi ya mechi"
- Ahmed Ally
🚨BREAKING: Uongozi wa Simba SC umefanya mazungumzo na mchezaji Abdul Suleiman Sopu kuelekea msimu ujao kwa ajili ya kumsajili na Kila kitu kipo kwenye njia nzuri muda wowote atasaini kujiunga na timu
🚨WACHEZAJI WA TANZANIA WENYE VIPAJI VIKUBWA VYA MPIRA KUANZIA 2006’s
1.Haruna Moshi Boban
2.Singano Messi
3.Mrisho Ngasa
4.Mbwana Samatta
5.Ibrahim Ajibu ………. Show more
@1960Remija@krisBangala Kiongozi ana mentality kua Yanga akishinda magoli mengi basi ni maigizo lakini timu yake ikitoa droo au kufungwa bas ndo mpira wa kweli na wanakamiwa. Hao kombe wataliskia kwenye bomba tu kwa namna iyo ya kufikiria.
Shauri la uhaini linalomhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu limeahirishwa mpaka Julai 15, 2025.
Ahirisho la shauri hilo limefuata baada ya mahakama kukubali maombi ya upande wa Jamhuri ulioeleza kuwa kwa sasa bado hawajafanya uamuzi wa kumshtaki rasmi Lissu kwa makosa ya uhaini, shauri ambalo litafunguliwa Mahakama Kuu.
@josamjokind @fm_dalu @godbless_lema Anayeteseka ni yule hasiyejiamini mbele ya watu ambao anona anawafanyia mema kumbe la asha, msingi wa yote ni huru na haki tu
@Aduiwayanga@Mzungu_pori1@godbless_lema Si kweli kabisa ni vile ukweli tunaujua lkn tunapenda kujitoa ufahamu bad sioni shida ya kuwa tume huru ninaamini siku zote afanyae wema hana hofu na kifo sababu anajua anaenda peponi