Kivuli ama ni Kavuli, leo morning ngware acha nikupeleke through our classes juu clearly ni kama kuna kitu hupati.
Numero uno, naona umeandika vizuri kabisa kwamba Kalonzo shelved his ambitions for the sake of Raila. Naomba uende polepole hadi Kang'o ka kitui uambie hiyo jamaa aende adai Raila huko Bondo. Sisi apana kua na deni yake.
Numero mbwekse, hakuna mahali tuliandikiana na Kalonzo tutapea yeye flagbearer Raila akikufa. He can go to the ballot if he wants, sisi tunataka Sifuna.
Numero utat, unajua kukua abducted haimanishi ukue na opinion kwa kila kitu, na juu hiyo ndo unatumia kama campaign tool, may you keep off your nonsense from HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA.
Last but not least, geuki jirani yako hapo Mwingi umwambie WANTAM, na jina haiwezi kuwa Kalonzo juu yeye ndio Sifuna.