Je unahitaji kufanya service ya gari lako? karibu PACOTA SOLUTIONS upate huduma safi kwa kutumia oil bora kutoka makampuni mbalimbali kama Atlantic,Castrol,Total,Toyota,Nissan etc.
✅Quality Guarantee
✅Affordable price
AC SYSTEM DEEP CLEANING (NYUNGUU)
Kila Alhamisi ni siku ya Nyungu Bureee kabisa karibuni tunafanya kitu inaitwa Interior Disinfect Treatment inamaliza Bacteria 🦠, Harufu mbaya ,Virus kwenye matundu ya AC na aina zote za wadudu ndani ya gari yako.
Wasiliana Nasi 0659 644 309
Toyota Vanguard ikiwa tayari kupokea huduma ya Usafi kuanzia nje mpaka ndani,
Pacota haikupi sababu ya kujutia kulileta gari lako kwetu, tunavifaa maalumu na vyakisasa kwaajili ya kuoshea gari yako 💦💦💦💦
Wasiliana Nasi 0659 644 309
PACOTA SOLUTIONS we need only 10 new customers per day… 300 per month …. 3,600 per year .. 10800 in 3 years 😁.
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO2hv6G
📱: 0765944592
#Sensa2022
Chagua uoshaji magari unaoendana na mazingira, kuosha magari kwa njia rafiki kwa mazingira inahitajika ili kuzuia upotevu wa maji.
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO1ZTI6
📱: 0765944592
#pacotawash
Lengo letu ni kuwapa wateja wetu teknolojia ya 100% ya kuosha magari ambayo ni rafiki kwa mazingira ambayo itasaidia sio tu kulinda magari yetu bali pia kuhifadhi mazingira yetu.
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO1ZTI6
📱: 0765944592
#pacotawash2022
No dirty floor♻️
Your parking will be clean
Email or WhatsApp for bookings
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO2hv6G
📱: 0765944592
#savewater#Pacotawash
@SolutionsPacota ni Jukwaa la ushauri na mafunzo ambalo hutoa ushauri na huduma mbalimbali kwa biashara za kuosha magari kwa ajili ya kuboresha carwash zetu za kuosha magari kutatua matatizo katika nyanja za ukuaji, tija na faida.
#CarwashTraining
Tunayofuraha kuripoti kwamba tunao watendaji wenye utayari wa kutoa huduma ya kuridhika kwa wateja.
Karibu tukuhudumie tunapatikana Dodoma na Morogoro.
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO2hv6G
📱: 0765944592
#pacotawash
Chagua uoshaji magari unaoendana na mazingira, kuosha magari kwa njia rafiki kwa mazingira inahitajika ili kuzuia upotevu wa maji.
Email: [email protected]
Web: https://t.co/OPKsO2hv6G
📱: 0765944592
#pacotawash