JIFUNZE KUHUSU TOCHI (SPEED RADAR) NA SURA ZAKE MUHIMU
Wengi wetu tumekuwa tukiona vifaa vya kupimia mwendo barabarani, tulivyozoea kuviita tochi kwa lugha yetu ya barabarani. Leo hapa tunakuletea mambo muhimu kuhusu tochi. Ungana nasi hapa katika Makala hii.
UZI Shukanao 👇👇
💔
📍Iwambi - Mbeya.
Jana, Daladala imegongana na guta iliyokuwa imebeba hizo chuma "pipes". Kwa mujibu wa taarifa, hakuna aliyepoteza maisha ila watu wameumia, hasa dereva wa guta.