Mtu Akikudunga Na Kisu Cha Ulimi Wake Basi Usimdunge Kwa Kisu Hicho Hicho.....Madam Waweza Kumuua Na Panga La Subrah Yako.....ALLAH ATUJAALIE TUWE WENYE SUBRAH INSHALLAH๐คฒ๐ป
#TBT: Nimekumbuka nyakati ambazo nilifanya kazi Simba katika idara inayosimamia Masoko.
Pamoja na kuwa shabiki, @SimbaSCTanzania ni kati ya sehemu zilizonisaidia kukua. Katika yote yanayoendelea sasa, nawaombea viongozi, wanachama na mashabiki wavuke salama.
#NguvuMoja
Kama mtoto wa Lindi, #ZiaraYaMamaLindi imenifariji mno.
Tunamshukuru Rais Samia Suluhu (@SuluhuSamia) kwa barabara (Ruangwa), Boti za Kisasa Bandari ya Kilwa, Shule ya Sekondari ya Wasichana, Hospitali na mengine ambayo #MamaAnafanikisha katika mkoa wetu.
LINDI KUCHELE.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
"Wala rushwa wanapaswa kufahamu kwamba nchi zetu si vichaka za kuficha fedha zilizotokana na rushwa,"- Rais Samia Suluhu Hassan.
#MamaAnafanikisha