Patrice Lumumba wanted DR Congo for Congolese.
They shot him, dissolved his body in acid, and kept his tooth as a trophy.
This is how the West treats African dreams.
"Katika safari za maisha ya watu, kwa wengine wewe ni kituo, wengine wewe ni stendi na wengine wewe ni kichaka cha 'kuchimbia dawa' njiani.Muhimu ni kujua nafasi yako na aina ya fursa unazoweza kufaidika nazo kwa nafasi yako.Jitahidi usiwe kichaka cha 'kuchimbia dawa'. Jiongeze!"