🚨 Simba SC defender Nathan Chilambo will be sidelined for 3–4 weeks.
The Tanzanian defender picked up a ligament injury during the AFCON qualifying clash between Tanzania and Nigeria in Zanzibar.
Medical examinations following the game confirmed a torn ligament.
Wishing Chilambo a smooth recovery. Hope to see him back on the pitch soon! 🙏🏾🇹🇿
𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈:
Beki wa Simba SC, Nathan Chilambo, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 3 hadi 4.
Chilambo alipata jeraha la mishipa wakati wa mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Nigeria uliofanyika Zanzibar.
Uchunguzi wa kitabibu uliofanyika baada ya mchezo huo umethibitisha kuwa amepata mpasuko wa mishipa.
Tunamtakia Nathan Chilambo nafuu ya haraka na kurejea uwanjani akiwa fiti kabisa. 🙏🏾🇹🇿
#NguvuMoja • #AfricanFootball • #Tanzania
mara yako ya mwisho kuripoti jambo @tanpol na kupata msaada uliokuwa unautaka ilikuwa lini? tushirikishane uzoefu, mzuri au mbaya, tukiendelea kupigania tanzania tuitakayo.
🎥: @kiratyofficial, @NijuzeNews:
@mangekimambi Last paragraph upo sahihi kabisa dada. Watanzania tumechezewa michezo mingi sana na huyu makengeza.
TAL na Heche wamekuja kuwaweka uchi kabisa, sasa tunajua uhalisia.. TAL ni MPANGO WA MUNGU