@Godluck1@Balyx_ kwenda bungen haijawahi kuwa shida ila Hizi hela za kusafirisha mashabiki/viongozi pakiwa na events kubwa za timu eti Kwa ajili ya hamasa na kuwalioa wahamasishaji zingetumika kuinvest kwenye miundombinu ...tungepata talents nyingi tu..ila siasa sasa