SGR haijaja kuwa mbadala wa Mabus.
Kibiashara lazima SGR iwepo na Mabus yawepo.
Usafiri wa Anga upo
Usafiri wa Trein
Usafiri wa Mabus
Kila usafiri unafanya shughuli zake bila kuathiri mwingine na kila usafiri una watu wa hadhi yake!
"Yesu aliwaambia wanafunzi wake: Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni."(Mt. 5: 13-16)
Mtu anaomba kibali cha kujenga jengo la gorofa 10 kariakoo haulizwi wageni wake watapaki wapi anapewa kibali.. kwa nini floor moja isiwe mandatory parking?
Usiwafanyie watu mabaya tu, bali pia usiwatamanie mabaya mioyoni mwako. Maana dunia ina mzunguko—unayotenda au kutamani kwa wengine, nayo hukurudia. Chagua wema kila wakati. 🙏