@Gibson44178359 Achen kumuchafua wakuu mbona tz hatusamini kitu chetu. Kwahiyo kila aliyetoka kimaisha kalala na mama yake kweli. Akikushitak utadhibitisha kweli?
Nusu kilo ya pilipili kichaa hapa NewYork ni karibu shilingi elfu 15 (15,000) kwa pesa ya Tanzania, haujaenda China. Kaka @MalemboLE , huu muda tunaotumia kuwaza kulima mavitu makubwa makubwa, tukiuwekeza kwenye hivi vidogo vidogo hatutapata tija zaidi kweli?๐ค๐ค