βTumecheza Na Timu Kubwa, sidhani
timu kubwa inahitaji msaada wa VAR kushinda mechi.
Tulistahili zaidi kushinda, nimesikitishwa sana na mwamuzi wa mechi.βπ
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi.
#sunshinesports1
LILE LILIKUWA GOLI HALALI.β.- Ameandika Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma βMwana FAβ kupitia mtandao wa βXβ
#sunshinesports1
βNimetoka kuongea na viongozi wa
@YoungAfricansSC na tumekubaliana wanaiandikia CAF kulalamika kuhusiana na goli la wazi lililokataliwa.
Haitabatilisha matokeo, lakini angalau tuweke
kumbukumbu sawa na ikithibitika hata mwamuzi achukuliwe hatua stahiki.