Fearing or being afraid to enter politics is the main reason why people without integrity and good intentions for their people end up in leadership.
2045, Inshallah!
@BedGidaJr@Iam_Malunguja Dental kwa muhas 1.3 to 1.5 unakuwa na uhakika,DDS competition yake ipo juu sana.
2023 MUHAS 1.6 chache zilisoma dental.
Na kila mwaka ufaulu unapanda
Kati ya ktu kigumu sana nme experience ni uwezo wa kuhandle pesa ukipata kwa trading
Fanya kila kitu usiwe na access na hiyo pesa,hvyo tyu ndo unaweza kuishi maisha ya cost ya chini sana na hata muda mwingine maisha cheap
Cryptocurrency ni bora sana,ukiweka hela bank utatumia tyu
@Isayadicksonjr Wakuu,
Masters yenye mpunga mrefu n ipi??
Tumebishana sana na wanangu.
Note,
Iwe inatolewa bongo hapa hapa
Napata sehem ya kupiga kazi ni easier
Enjoy every moment from now. ๐๐๏ธ
None of us will see 3025. RIP to all of us. Stay humble, nothing lasts forever
80 years from now, zis comment section could be full of people who are no longer here๐ข๐๏ธ
Life is short love deeply, forgive quickly, and make every moment count. โค๏ธโจ
@ChachaWegelo Kwa nchi yangu ya Malawi.
Hii kitu n ngumu sana sanaa!!
Ukitaka kuamini,angalia kuanzia waziri wako wa Afya.
Utakuta hata hiyo nguvu na effort ulitumia kupata shule ya kutibia wagonjwa.
Hajui!!
Itachukua muda sana, kutatua changamoto kwa kuanzia shina ukaacha mzizi
Mdada unasoma naye,primary mara unaona tiktok yuko live,anaomba gift ๐ ๐คฃ, guys tap tap screen!!
Nyama ya bure!! ๐ Nijitume wanangu wasifike huko akhiiii!!
@kasesco_tz kuna dawa ambazo ukitumia na maziwa unaathiri kiwango cha dawa kitakacho ingia kwenye damu,mfano mzuri ni cipro.Dawa zingine ukipiga menu yako na maziwa haina mbaya
@Iam_Malunguja nikajua hizi dili nilikuwa napiga mm tyu.๐๐kuna jamaa alikuwa na level ya diploma akataka kuongeza elimu organic chemistry ikawa inamupiga.Akaongea na mzee nimupigishe organic atalipa,๐niliweka dau kubwa huwez amini na alilipa