@SwahiliRealTalk Tumia mafuta ya taa splay kila mahali kwenye shida na kama ukuta una nyufa puliza pia kwenye nyufa huwa wana tabia ya kujificha mle na kutaga mayai
@Labella_Mafia95 Uchakachuaji ni mwingi ndio maana watu wanayapuuza na kingine unaweza ukawa na one darasani kisha aliefeli darasani akawa na maisha mazuri mtaani