@Sylhomietz1@ze_mandevu Orion na yenyewe iko na engine yake rokect inatumika kuounguza consumption ya mafuta na k overcome very great force of gravity kweny space inakuwa haitumii power kubwaa sanaa rokect kama inasaidia roli kuoanda mlima then orion inatumika kuzunguka kileleni na kushuka
@ze_mandevu As engineer rocket inatumika tu kurusha spacecraft kutoka katika earths gravitational pull kwenda kwenye space then rocket ina split na kuiacha space craft kwenye microgravity space then spacecraft ambayo ndio orion inafanya safari kwenye space na kurud dunian