@Kachero_jr@hecenmo If by mistake they get you, there’s no guarantee that any state apparatus will look for you, even if you’re innocent. They are protected by law to operate in the shadows and aren’t required to disclose their operations or activities. Personally, I’d stay away from them
How Samia Suluhu Dropped the Reformer Mask and Forged Tanzania's New Autocracy
Tanzania was for decades a beacon, albeit an imperfect one, of egalitarian African socialism under the venerated founder Julius Nyerere. Even successive leaders who embraced some free-market reforms leaned into egalitarian and deeply republican romanticism.
The volatile John Magufuli (2015–2021) was anti-liberal (he hated the free press and the opposition), extreme in the violence of his rule, and embraced several voodoo ideas (especially on health, women and girls), but he was also deeply development-focused and pro-man-and-woman-on-the-street.
With his sudden death in March 2021, his deputy, Samia Suluhu Hassan, took power after a failed bid by grandees of the long-ruling CCM to deny her the ascension to the post. A matronly figure, she brought an unfamiliar gentle touch to Tanzanian politics (at least compared to Magufuli) and even mouthed political and constitutional reform.
But rarely has a politician flattered so much to deceive. As soon as she was reasonably consolidated, she brought her fangs out and flushed reform down the sink. Tanzania had entered its worst nightmare.
Her crackdown on the opposition made Magufuli look amateurish. CCM has historically stolen the vote, but in the October 2025 election Suluhu plundered it, winning with 98%, the highest percentage recorded in a multi-party presidential election in Tanzania's history. With it, various sources reported that anything between 500 and 3,000 people were killed during election-fraud protests by the opposition.
But above all, Suluhu has disfigured Tanzania most by turning it into a corrupt familiocracy that the Ujamaa of Nyerere, the Tanzania of Hassan Ali Mwinyi and Ben Mkapa, would have no words for.
Perhaps borrowing a leaf from northern neighbour Uganda, her daughter MP Wanu Hafidh Ameir is Deputy Minister of Education. Her son-in-law Mohamed Mchengerwa is Minister of Health. But the man on everyone's lips is her son, businessman Abdul Halim Hafidh Ameir, 40. Wags claim that, though he holds no formal government post, he is the man "running" Tanzania.
How did a gentle socialism-dabbling Tanzania end up with its belly up under Suluhu? Like many stories of tyrants, it started with some disrespect.
Tanzanian analysts and commentators say Magufuli's powerbrokers within CCM made the mistake those in Kenya's KANU made with Vice President Daniel arap Moi in 1978 after Jomo Kenyatta – they (and most of the general public) considered her a lightweight transition president after the death of Magufuli.
Facing rejection, Suluhu allegedly bribed many folks in CCM and installed herself as the party flagbearer for the October 2025 election in January 2025, without the formal nomination process under the CCM constitution that all her predecessors had followed.
There were still cases of enforced disappearances inherited from Magufuli. Still, to stamp her power, cases ramped up dramatically from early 2025 to stamp out internal and external opposition and deal with rejectionists in the party.
The jailing of leading opposition Tundu Lissu ahead of the election, and the disappearance of former ambassador and CCM stalwart-turned-critic Humphrey Polepole on the night of 6 October 2025, partly fuelled a boycott of the election and protests in October, and Suluhu dealt with the resulting crisis of legitimacy by hammering opposition to the pulp.
Meanwhile, corruption cases spiralled out of control; people on the mainland, who form the far-out majority of the Union, felt the minority Zanzibaris (Suluhu is from Zanzibar) were taking all key positions in government institutions.
Before long, ministers had to seek presidential son Abdul Halim Hafidh's consent before making decisions, particularly when his interests were involved. In four short years, Suluhu, who seemed at the outset the least likely of candidates to do so, has overseen the great informalisation of the Tanzanian state.
In a recent taste of how ruthless the Suluhu machine can be, Vice President Emmanuel Nchimbi softly but publicly urged Tanzanians in July to push for a new constitution before the 2030 elections.
The Suluhu machine took out their knives and began sharpening them. On 26 August 2026, an under-pressure Nchimbi announced his resignation, effective 4 September. That same day, the CCM politburo expelled him from the party, without delay. Like Polepole, it would be no surprise if Nchimbi disappeared one day, or his remains were found half-eaten by wild animals in a national park. After all, Tanzanian activist and social media regime critic Edgar Mwakabela, widely known online as Sativa, was abducted in June 2024 from a highway in Dar es Salaam. After being severely beaten for days, his abductors transported him over 1,000 kilometres away to Katavi National Park, shot him in the head, and left him for dead. Sativa refused to die. He lives to tell the horror story.
It was said of India's steely first female prime minister Indira Gandhi in her autocratic last years, that "Kali (the fierce Hindu goddess of destruction and power) brooks no dissent". One could say that Suluhu rules with the unyielding, draconian severity of a modern-day Chief Mirambo (the 1800s Iron King of the Nyamwezi) and is mercilessly crushing any hand that attempts to tip the balance of power.
Usifanye maamuzi makubwa ukiwa kwenye hisia kali, obsession, hasira, tamaa au umekuwa “high”.
Hali hizi zinaweza kuvuruga namna unavyotafsiri mambo na kupima matokeo.
Chill kwanza,hisia zikishuka,mtazamo hubadilika.
Usifanye uamuzi wa kudumu ukiwa kwenye hali ya muda.
Huyu kwenye picha anaitwa Joseph Cosmas Maduka, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ngazi ya Masters, hajulikani alipo tangu Jumapili September 13, 2026.
Kwa taarifa ambayo Familia yake yanayo ni kwamba, mara ya mwisho alionekana maeneo ya Posta, Dar es Salaam tangu siku hiyo hadi leo hajapatikana, na familia pamoja na ndugu zake hawajui alipo.
Familia tayari imejaribu kutoa taarifa Polisi, lakini hadi sasa bado hajapatikana.
Tunaomba msaada wa kila mmoja kupaza sauti na kusambaza taarifa hii. Mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu alipo Joseph Cosmas Maduka, tafadhali awasiliane nnasi kwa namba 0622 248 469.
Tundu Lissu amepanda kizimbani na kuieleza Mahakama Kuu ya Tanzania kwamba DCI Ramadhan Kingai amesema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wa utetezi na amemueleza (yeye) yupo upande wa wale watu ambao watashangilia na kufurahi Mahakama ikimkuta na hatia ya kunyongwa hadi kufa.
Jamhuri haina ushahidi wa uhaini kabisa. At a narrow picture hizo taarifa hazisaidii kesi ya uhaini waliyoleta. Lengo kubwa ni kujaribu kuwaondolea viongozi wetu wa chama heshima na hadhi zao na kuchafua chama tu. Wanatumia takataka za mtaani na kuchamba umbea. Kizimba kinatumika kama avenue tu. Yeah, ndiyo kitu wanachojaribu kufanya — kudondosha credibility ya John Heche na mashahidi wengine wa utetezi. Lakini hawatafanikiwa. Jamhuri kesi hawataki kabisa kuijadili; wanaigusa kwa kunusanusa tu. Upotezaji wa muda wa mahakama na matumizi mabaya ya fedha za umma.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 419
Upande wa Jamhuri wanaendelea kumfanyia cross examination Makam Mwenyekiti Bara John Heche.
Katuga: Waambie Majaji kuwa wewe ulitangazwa katika uchaguzi usio huru na haki lakini haukuukataa.
Heche: Sahihi
Katuga: Ni sheria gani ya uchaguzi au yoyote ya nchi inayokulazimisha wewe ukitangazwa kwenye uchaguzi usiokuwa huru inakulazimisha usiukatae?
Heche: Ni wananchi, sheria siijui
Katuga: Wewe binafsi ukitangazwa kuwa mshindi, uchaguzi unakuwa sio wa haki?
Heche: Sio kweli
Katuga: Kwahiyo uliingia Bungeni kupitia uchaguzi usio huru na haki?
Heche: Sahihi kabisa
Katuga: Ukaserebuka
Heche: Kuna kuserebuka Bungeni?
Watu kicheko😂😂😂😂
Katuga: Nilikusikia ulisema kuwa kuna Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi baadae akaenda kugombea jimbo la Butiama ?
Heche: Sahihi
Katuga: Hakuna mtu aliyewahi kufanya kazi Serikalini na baadae akajiunga na chadema?
Heche: Wapo
Katuga: Mtu yeyote aliyekuwa mtumishi wa umma, mfanyakazi wa Serikali nikisema kuwa atakuwa na haki ya kujiunga na Chadema?
Heche: Mtu akiwa mtumishi wa Umma halafu akajiunga na Chadema watamfukuza, ila akimaliza sawa
Katuga: Ni sahihi mtumishi wa umma akistaafu anahaki ya kujiunga na chama chochote?
Heche: Sahihi
Katuga: Ni sheria gani huyo mgombea wa Butiama aliyovunja yeye kujiunga na kugombea CCM?
Heche: Kwa utaratibu wa CCM huwezi kugombea kama hujawa mwanachama kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita kwahiyo alijiunga CCM akiwa Mkurugenzi wa Tume
Katuga: Ni sahihi kuwa msimamo wa Chadema ulimaanisha bila mabadiliko uchaguzi usogezwe mbele?
Heche: Ni sahihi
Katuga: Ulieleza sheria gani inaruhusu uchaguzi kusogezwa mbele?
Heche: Sikueleza
Katuga: Ni sahihi kuwa wewe Lissu na Lema mlienda Kenya kumuona Raila Odinga?
Heche: Ni sahihi
Katuga: Huko Nairobi mlimwambia Raila kuwa mnaenda kuzuia uchaguzi? Tunaenda kukinukisha?
Heche: Tulimueleza matatizo yote ya uchaguzi wa Tanzania
Katuga: Nina wasiwasi kama kweli ulipata division one
Heche: Una haki ya kuwa. pia punguza hasira na wasiwasi japo na mimi nina wasiwasi sana na Degree yako ya Mzumbe
Jaji Ndunguru: naomba twendelee tukimaliza hapa mtaenda kulumbana huko nje
Watu:😂😂😂😂😂
Heche: Waheshimiwa majaji tulizungumza mambo yaleyale ingawa hatukutumia exactly words.
Katuga: Taarifa zinazotolewa na Brenda ni wewe unamuelekeza atoe?
Heche: Ofisi ya Katibu Mkuu
Katuga: Uliulizwa na mshtakiwa kwamba yeye anashtakiwa kwa kuandaa mkutano na kutamka aliyoyatamka, wewe ukasema sio kweli
Heche: Sahihi
Katuga: Kabla hujaja kutoa ushahidi ulisoma hati ya mashtaka?
Heche: Niliisoma
Katuga: Waambie majaji kuna sehem imeandikwa Lissu anashtakiwa kwa kuandaa mkutano?
Heche: Nipe hati ya mashtaka niisome ila nakumbuka ameshtakiwa kwa mambo yaliyotokea kwenye mkutano
Katuga: Jibu swali
Heche: Sijui
Katuga: Ni ushahidi wako ulisema kuwa tuhuma za kualika waandishi wa habari sio sahihi na Sekretarieti ndio ilialika?
Heche: Sahihi
Katuga: Waambie majaji mshtakiwa anashtakiwa kwa kualika waandishi wa habari?
Heche: Sijui
Katuga: Waambie majaji kama Mwenyekiti Lissu alitaka au hakutaka hotuba yake ya 3/4/2025 alitaka iwafikie umma
Heche: Siwezi kujua kama alitaka
Katuga: Ni kweli au sio kweli kuwa 3/4/2025 kuna mambo ya ndani yalifanyika huku waandishi wa habari wakiwa wametolewa?
Heche: Sikumbuki
Katuga: Na ulikuwepo kwenye mkutano?
Heche: Mwanzo mwisho
Katuga: Mr Sikumbuki
Heche: Unataka nijibu majibu yako unayoyataka wewe, huku anacheka.😂😂
Katuga: Waambie majaji Lissu alikuwa na uwezo wa kukataa au hakuwa na uwezo wa kukataa kuongea na waandishi?
Heche: Sijui
Katuga: Lissu alikuwa na uwezo wa kukataa au kukubali kuongea na waandishi wa habari?
Heche: Secretariat haina uwezo wa kumlazimisha Mwenyekiti.
Katuga: Unafahamu au hufahamu kama kulikuwa na hotuba rasmi iliyokuwa imeandaliwa?
Heche: Aliyoandaa yeye au?
Part 420 Inaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo September 15, 2026
Last time tuliishia part 417 so leo tunaendelea na -;
Part 418
Majaji wameingia muda huu hapa Mahakamani na sauti ya high Courtttttttttt kali imepigwa na leo imepigwa tena na Mwanadada.
Anasimama Karani wa Mahakama kusoma namba ya kesi.
Anasimama wakili wa Serikali Ajuaye Zengeli akiwa na wenzake Katuga, Mrema, Ignas Mwinuka, Thawabu Issa, Mbiringe na Winniwa anasema wapo tayari kuendelea.
Mhe. Lissu nae anasema yupo tayari.
Shahidi namba 5 tayari yuko kizimbani
Jaji Ndunguru anamkumbusha Shahidi kwamba yupo chini ya kiapo.
Anasimama Katuga kwa ajili ya kuendelea na cross examination
Katuga: Shahidi habari ya asubuhi
Heche: Salama
Katuga: Ni ushahidi wako kwamba Mshtakiwa alisema na kuweka msimamo kwamba hatuko tayari kushiriki kwenye chaguzi za namna hii ambayo matokeo yake ni mauaji
Heche: Huo msimamo uliwekwa na Kamati Kuu ya Chama
Katuga: Ni sahihi kuwa msimamo ulikuwa kutokushiriki uchaguzi wa namna hiyo mpaka mabadiliko yafanyike?
Heche: Sahihi
Katuga: Uliiambia Mahakama hii kuwa Lissu alipokuwa akipita kwa wadau hakusema neno kuhamasisha uasi
Heche: Sahihi
Katuga: Kama kutakuwa na shahidi akasema kuwa Lissu alitumia neno uasi wakati anapita kwa wadau
Heche: Niulize ushahidi wangu nitakujibu usiniulize ushahidi wa mtu mwingine ila majibu yangu niliyotoa ndo sahihi.
Katuga: Ni ushahidi wako kwamba maneno tutahamasisha uasi na wewe kusema kuwa hakutumia neno tutahamasisha uasi
Heche: Inategemeana na context, Lissu alitumia maneno hayohayo inawezekana asitumie neno hilohilo ila context
Katuga: Katika ushahidi wako ulisema vyombo vya habari havitoi nafasi sawa
Heche: Sahihi
Katuga: Ulisema hii inatokana na mapungufu ya mfumo wa uchaguzi
Heche: Sahihi
Katuga: Katika ushahidi wako uliiambia Mahakama ni sheria ipi au mapungufu gani ya mfumo wa uchaguzi yanayopelekea upendeleo?
Heche: Nilieleza
Katuga: Ulieleza ni Sheria gani inayozuia waandishi au kuelekeza waandishi watoe habari za huyo na kuacha za yule?
Heche: Vyombo vya habari huwa vinafungiwa wakati wa uchaguzi, nchii hii imejaa impunity sheria hazifuatwi.
Katuga: Shahidi jibu swali au unataka nikubembeleze?
Heche: Kabembeleze mke wako
Katuga: Ni ushahidi wako kuwa mawakala wamekuwa wakipata usumbufu, procees inakuwa inacheleweshwa na kuzuiwa au kucheleweshewa viapo
Heche: Ni sahihi
Katuga: Ulitaja kuwa ni kituo fulani na kituo fulani?
Heche: Nilisema ni nchi nzima
Katuga: Unajua au hujui kuwa uliposhinda uchaguzi ulituhumiwa kuingiza kura feki mpaka ukashinda uchaguzi?
Heche: Hilo unaniambia wewe mimi sijui
Katuga: Unajua au hujui kuwa mwanasiasa akishindwa huwa hakubali kirahisi?
Heche: Sisi ni chama cha demokrasia ukishindwa unaenda nyumbani.
Katuga: Waambie majaji kama kweli wewe uliposhindwa ulienda nyumbani?
Heche: Uchaguzi haukuwa huru na haki
Katuga: Kwahiyo unaiambia mahakama hii kuwa ukishindwa ukaenda nyumbani inategemea na aina ya Uchaguzi?
Heche: Uchaguzi ni aina moja tu na Mahakama ilishasema uchaguzi usiokuwa huru na haki sio uchaguzi
Katuga: Uchaguzi wa 2015 ulioshinda uliukubali au uliukataa?
Heche: Niliukubali japo ulikuwa na makosa mengi.
Katuga: Jimboni kwako uchaguzi ulikuwa huru na haki?
Heche: Haukuwa huru na wa haki wagombea wa udiwani walienguliwa.
Katuga: Unajua mahakamani hatuwi kama makasuku?
Heche: Wewe ndio kasuku
Katuga: Ni sahihi kama uchaguzi wa jimboni kwako haukuwa na haki, ulikuwa na uhuru wa kutokukubali kutangazwa au kukubali kutangazwa?
Heche: Nililazimisha kutangazwa na uchaguzi haukuwa huru na haki na nchi hii haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Katuga: Kama wewe ni mtu wa haki na sio pepepe ulikuwa na uwezo wa kukataa au kukubali kutangazwa??
Heche: Fafanua maana ya pepepe
Katuga: pepepe ni maneno ya mdomoni
Heche: Ok, sikuwa na uwezo wa kukataa kutangazwa maana wananchi walikuwa wananiunga mkono sana
Part 419 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo September 14, 2026
Last time tuliishia part 408 so leo tunaendelea na -;
Part 409.
Kumekucha tena.
Ni siku ya Jumatatu tulivu, Makofi ni mengi sana hapa wakati Mwenyekiti anaingia anawasalimia watu kwa ile salama yake ya kuzungusha ngumi juu ikiwa ni ishara ya People’s power.
Sauti ya high Courtttttt imepigwa na Mwanamama sauti kali sana.
Majaji wameingia wapo watatu kama kawaida yao.
Majaji wanajiandaa pale mbele na Mh. Lissu alikuwa anapanga vitu vyake mezani kutoka kwenye makablasha yake.
Anasimama Karani anasoma namba ya shauri na kukaa chini.
Anasimama Ajuaye Zegeli akisema niko na Katuga, Mrema, Mwinuka, Thawabu Issa, Mbiringe na Winniwa. Tunaiwakilisha Jamhuri na tuko tayari kwa Dodoso.
Mshitakiwa Tundu Lissu yuko tayari pia.
Ataanza Ignas Mwinuka.
Mwinuka: Umeshiriki chaguzi ngapi zinazosimamiwa na NEC?
Heche: Nimeshiriki Chaguzi 3.
Mwinuka: Kati ya chaguzi tatu Mbili ulitangazwa?
Heche: Ni kweli lakini baada ya watu kufa, Vurugu ilikuwa kubwa sana.
Mwinuka: Ya kwanza udiwani na pili ubunge?
Heche: Ndio 2008 na 2015.
Mwinuka: Katika hizo chaguzi mbili kama Polisi walishiriki kuweka kura ili wewe ushinde?
Heche: Polisi hawajawahi kusaidia wapinzani Waheshimiwa Majaji.
Mwinuka: Katika chaguzi hizo mbili mawakala walizuiwa ili wewe ushinde?
Heche: Hapana.
Mwinuka: Mwaka 2020 hukutangazwa kama mbunge unatambua na hukuenda Mahakamani kupinga?
Heche: Hatukuchallenge nchi nzima kwasababu uharibu ulikuwa wa nchi nzima.
Mwinuka: Jimbo lako je?
Heche: Sikuchallenge.
Mwinuka: Ujazaji wa fomu wewe umegombea mara tatu? Ulijaza fomu vizuri.
Heche: Yapo mambo mengi sio kujaza fomu. vigezo ni vingi sio hicho tu.
Mwinuka: Kwenye ujazaji fomu ulimtaja Susan Kiwanga. Je ulimjazia fomu wewe?
Heche: Sikutaja fomu ya Susan Kiwanga nilisema ameenguliwa kwa uonevu wa tume ya uchaguzi.
Mwinuka: Wewe binafsi ulijaza fomu za wagombea wengine wa nafasi zingine za Ubunge na Diwani?
Heche: Tulikaa kwa pamoja na kujaza fomu kwenye ukumbi.
Mwinuka: Kwahiyo uliwajazia?
Heche: Nimekwambia ni utaratibu wetu tunakaa kwenye ukumbi na kujaza baadae tunahariri hiyo fomu iko sawa tunahamia kwa mwingine.
Mwinuka: Tukio la Tarehe 07/09/2017 la kupigwa risasi John Magufuli alitoa taarifa ya kulaani tukio hilo?
Heche: Sikumbuki
Mwinuka: Humphrey Polepole alitoa taarifa ya kulaani tukio la Lissu kupigwa risasi akiwa Katibu Mwenezi wa CCM?
Heche: Polepole huyuhuyu aliyetekwa au mwingine unamzungumzia?
Mwinuka: Je kuhusu Spika wa Bunge Ndugai kutoa taarifa ya kusikitishwa na tukio hilo?
Heche: Nakumbuka na aliunda tume ya Uchunguzi pia.
Mwinuka: Je unakumbuka kuhusu Makamu wa Rais wa kipindi hicho alienda kumtembelea hospitali kumtembelea?
Heche: Nakumbuka alienda kwenye kkikao na baadae akapita hospitali.
Mwinuka: Ulisema Daftari liliondolewa pale nyumbani ambalo huwa linakaa getini?
Heche: Sikusema Daftari kuondolewa.
Mwinuka: Kuhusu gari kumfuatilia hadi nyumbani ulikuwepo?
Heche: Ni taarifa niliyoipata kutoka kwa mshitakiwa.
Mwinuka: Kwahiyo ni habari ya kuambiwa?
Heche: Na Mshitakiwa mwenyewe.
Mwinuka: Umeeleza kuhusu stahiki za kibunge alizopaswa kupewa je aliwahi kukwambia amekupa kazi ya kufuatilia stahiki zake?
Heche: Nilikuwa kwenye Kamati ya Chadema ya Wabunge iliyokuwa inafuatilia hizo stahiki na maslahi ya wabunge.
Mwinuka: Ulieleza hilo au hukueleza?
Heche: Sikuulizwa.
Mwinuka: Katika mauaji yote uliyoyataja mangapi uliyashuhudia mwenyewe kwa macho yako?
Heche: Chacha Isangora na Chacha Marwa anaendelea kutaja na watu wengine waliouwawa.
Mwinuka: Huko usiende sasa niambie tu wakati unatoa ushahidi ulisema ni mauaji mangapi?
Heche: Sikusema.
Mwinuka: Kule Arumeru ulitaja jina la nani aliyefariki?
Heche: Msafiri mbwambwo nilitaja.
Mwinuka: Ulikuwepo na ulishuhudia wakati mauaji hayo yanafanyika?
Heche: Sikuwepo.
Part 410 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
@MtataProMax Nilikuwa sijui kama Heche ni tishio kwa CCM mpaka nilipoona hizi figisu na mauongo yanayosambazwa na mbogmboga🤣🤣
Bado hamjasema, na mlivyomaboga, Mnapost kitu kilekile watu 10 mkidhani hawa watz ni wa mwaka 1980🤣🤣
Enzi za utoto mzee anarudi night ashakula masanga alafu lazima akuamshe ukale naye plus stories nyingi haijalishi ni saa ngapi. Sisi nashangaa tumeacha huu utamaduni 😂😂