@SimbaSCTanzania Kuna mambo mengine hua hayana umuhimu katika Jambo husika ikumbukwe apo si sehem ya kampeni za Siasa.. ifike mahali unafiki usiishi kwenye taasis za michezo maana zinabeba hisia za watu wengi....mngewapia na viongozi wengine wote wa vyama vingine kutoa hizi Salam
@millardayo Matukio ya Utekaji yamekua mengi na iman ya kiubinadam na utu imekua ndogo... Aman tunayotamba nayo ni ya vita ya kidini , Ukabila lakin Amani ya utanzania baina ya mtu na mtu baina ya Watu na mtu imekua ndogo endapo tu utakua kwenye mazingira ya sintofaham..