@goligani Karibu ujifunze kilimo cha pili pili kichaa chenye faida na mkulima amabapo utajipatia kipato kila mwezi baada ya kuvuna na Soko ni 100%
0621 505 670 tupigie
"Malalamiko hayapo Senegal tu, dunia nzima imeshangaa na kuchukizwa, nawahakikishia Wasenegali, HILI KOMBE HALIONDOKI, tuna haki nalo na hatutolipoteza"
๐๏ธAbdoulaye Sow - Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) ๐ธ๐ณ
TFF wanaweza kuleta Waamuzi kutoka nje kuelekea Derby ya Kariakoo kwa maana kwa mujibu wa Kanuni ya 39 (7) (1) inaruhusu TFF kuleta Waamuzi kutoka Nje wakiona ni lazima.
Ndugu zangu hii Derby tuwape Wazawa ama watoke tena nje ya Tanzania?_____
Hakuna Chama cha siasa ambacho hakijawahi kutoka Duniani, kama viongozi wake watakua na imani hii.
Ili chama kisitoke madarakani, inabidi watu wa namna hii waache kufanya kazi kwa mazoea na kutoa kauli kama hizi
Huyu janja inabidi aimprove. Hana hatari anapokaribia goli, ni mchezaji mzuri sana, lakini anakosa mentality sahihi. Anapaswa kujinoa zaidi, hasa anapokuwa nje ya box. Anapaswa kuwa mmoja wa viungo tishio kwenye ligi ya NBC: we need more from him.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Kikao cha Umoja wa Afrika (AU) nchini Ethiopia amewasilisha msimamo wa Tanzania kuhusu vipaumbele vya maendeleo.
Miongoni mwavyo ni kuimarisha matumizi ya nishati safi, usimamizi wa madeni ya nchi, ustahimilivu dhidi ya majanga ya tabianchi, uongezaji thamani wa rasilimali za madini, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula.
Chaguo la Mwalimu mwaka 1985 wakati anaachia madaraka lilikuwa ni Salim Ahmed Salim, Mwalimu alitamani sana Salim awe Rais. Jambo hili hadi Rais Mwinyi aliliandika kwenye Kitabu chake. Mwalimu hakuchoka, 1995 alitamani tena Rais awe Salim, jambo hili Mkapa aliliandika pia.