TAIFA JUMAPILI SEPTEMBA 27, 2026
1. BLANDA ZAGHARIMU SERIKALI MABILIONI: Serikali inavyolipa mabilioni kutokana na blanda za maafisa wake
2. Aliyebuni Azimio La Umoja asikitika Raila anasahaulika haraka
Pata gazeti: https://t.co/ANVFJ1WhxW
TAIFA JUMAMOSI SEPTEMBA 26, 2026
1. UCHAGUZI WA 2027: RAMANI YA GHASIA - Maeneo hatari kwa ghasia za kisiasa 2027 yamulikwa
2. Jinsi ya kutambua walaghai wa mapenzi wanakunyemelea mtandaoni
Pata Gazeti: https://t.co/DogARj4nht
TAIFA IJUMAA SEPTEMBA 25, 2026
1. KALONZO ALIVYOPIGA SIFUNA CHENGA- Sifuna, Kalonzo wapigania jina 'Ukombozi'
2. Hali inazidi kuwa mbaya nchini, Kanisa laonya
3. Kauli ya Uhuru yafufua kidonda cha uchaguzi wa 2022
Pata Gazeti: https://t.co/U23GZVE4jK