Katika maisha,unaweza kuahidiwa mambo mengi na watu,lakini si kila ahadi hutimizwa.
Unaweza kuumizwa na watu uliowaamini,kukatishwa tamaa na watu uliowategemea au kukosa msaada kutoka kwa wale uliodhani watakuwa nawe.
Lakini usiruhusu uzoefu huo ukuondolee tumaini lako kwa Mungu.
Wafilipi 4:11–12
“Kwa maana najifunza kuwa na utoshelevu katika hali yoyote ile. Najua kuishi katika upungufu, najua kuishi katika wingi. Katika mambo yote nimejifunza siri hii: kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kuwa na vichache.”
Emotional intelligence ni somo muhimu sana hasa kama unaongoza au unaishi na watu.
Itakusaidia sehemu kuu mbili
1. Reaction
2. Action
Karibu 90% ya watu hutumia maisha yao kufanya reaction badala ya action.
Kama uko Tanzania vitabu vya kusoma kwa kurudia rudia kuhusu pesa ni hivi.
1. Richest man in Babylon Babylon
2. Atomic habits
3. The Psychology of Money
4. The secret
5. Think and Grow Rich
Bonus: RichDad Poordad
Sijui kama kuna mtu ameshawahi kukwambia... lkn tambua kuwa njia bora zaidi ya kuwafanya watu wema wabaki maishani mwako milele ni kutokuzungumza nao kila mara.
Kadri unavyoongea ongea na mtu ndivyo anavyopoteza interest na wewe. Something around "Law of Scarcity"
Vijana cheat code ingine important kwa hii life ni acting with urgency. Wacha kuprocastinate vitu. Procastination imememaliza dreams mingi sana hapa nje. Ukipata text reply fast. Act with urgency immediately anything comes up na you will always be one step ahead
Maisha wakati mwingine huwalazimisha watu wema kujichimbia, ili wapotee na wajijenge upya
Mtu akikupiga kimya, si kwa chuki, hujui anapigana vita gani ndani yake
Usihukumu ukimya wa mtu, watu wanajitafuta taratibu. Wape space, kiwezekana wape kamba ya kujishikilia wasizame zaid
“When you want something, all the universe conspires in helping you to achieve it.”
“There is only one thing that makes a dream impossible to achieve: the fear of failure.”
“When we love, we always strive to become better than we are.”
The Alchemist
The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth. Transparency of sources and ownership, accountability, quality, clarity, and objectivity are the keys to truly opening citizens' rights for all peoples.
Ijumaa kareem
Shukrani Sheikh wetu - ubarikiwe sana 🙏🏽
Mawaidha yako yanaeleweka sema hawa wenye KIBRI watashupaza shingo!
Haya usemayo ndo ukweli na si kwa viongozi waislamu tu bali wa dini yoyote
Ndo maana wanasema uongozi ni dhamana
#TutaelewanaTu
ZIMEBAKI SIKU 24
Kuelekea kwenye Tukio la Kihistoria Kabisaa, Hakuna Kurudi Nyuma hakuna Kuogopa Acha wafanye Mazoezi yao ya Kutembea..
Hawawezi Kutuuzia HOFU zama hizi za Utandawazi, Oktoba 29 ni Siku Muhimu sana kwa Vijana wa Kitanzania #GenZ255.
Sheikh wangu ni muislam safi. Watu wema wapo ndani ya dini zetu. Mungu akubariki sana Sheikh wangu. Mungu akupe rehema zake kwa kusema ukweli na kutetea haki za watu. Watawala sasa wanagombea lakini hawataki na hawajawahi kuzungumzia neno utekaji hata kwa bahati mbaya – maana yake wameridhika na watu kutekwa na kupotezwa. Watajibu kwa Allah wapi zilipo nafsinza watu hao. Sauti ya haki itaendelea kuunguruma kutoka pande zote. As-salamu alaykum.