Kuna namna ukiwa fikiria madereva wa mabasi unabaki kusema tu na point zikwate hakuna namna,ukozako iyovi mida ya night kali unazunguka na 80kph mara unaona taa zina flash na horn,unaona isiwe taabu wacha nimsomee ramani mjomba apite,oyaa ile umegusa breki tu akiona taa tayari kishatoka anapumulia kwa ubavu,ghafla bin vuu mbele IT hii hapa,unaona isiwe taabu wacha niwaokoe hawa wenda wazimu wawili, mguu kati mojakubwa mwamba aingie mara hee,unajiuliza mbona gari ndefu sana hili eban eee kumbe ziko mbili zina kimbizana,inakubidi upige kubwa moja tu na hose utoe kidogo kesho utaenda ku sove kesi ya hashi breki.πππ
@MoruoKing Ruto anawalamba makalio kila siku ila Kenya wametoka, Museveni kamjengea sanamu bro wa Benja ila Uganda wamenyanyuka. Kina fulani ambao hadi walikumbusha 2 state solution wamebaki, inabidi wanadiplomasia nguli watupe shule sie layman π