NGO provide parenting skills for CCD, Adolescent Counselling for Behavioural Change, Sexual Reproductive Health, Life Skills and Advocate
Child Protection in Tz
siku ya Wafanyakazi Duniani, tumeanzimisha kwa kupandika mabango sehemu mbalimbali ya Elimu namna ya kujikinga na Maambukizi ya Virusi #corona kutoka Wizara ya Afya katika kuzidi kukumbushana kuchukua hatua kujikinga na kukinga wengine ili kuwa salama.#wizara_afyatz#elimuyaafya
Je wajua hatua muhimu za kunawa Mikono yako?
Ni rahisi na muhimu kwa Familia hasa ukiwafundisha watoto na jamaa zako katika jamii yako hatua izi 7 ni muhimu na rahisi kuzidi kuwa salama na kujikinga na Homa Kali ya Mapafu #corona#uniceftanzania