A healthy mind is a balanced mind with the ability to think, learn and understand one's emotions. Reach out and break the stigma!
#ipsafro#worldhealthmentalday https://t.co/caZ6F97pAK
Endapo umesahau kunywa dawa katika muda husika,
kunywa hapo hapo utakapokumbuka LAKINI kama umekumbuka muda karibia ule wa kunywa dozi inayofuata, kunywa dozi ile tu inayofuata na usinywe mara mbili yake kufidishia ulio isahau kwani inaweza kuleta madhara mwilini.
#famasijamii