Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), William Ruto, akiwa kwenye Mkutano wa Kawaida wa 25 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) mkoani Arusha, Machi 7, 2026.
#EACSummit
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, anashiriki Mkutano wa Kawaida wa 25 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), leo Machi 7, 2026.
#EACSummit
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye, akiwa kwenye Mkutano wa Kawaida wa 25 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) leo Machi 7, 2026.
#EACSummit
Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Kawaida wa 25 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) mkoani Arusha, Machi 7, 2026.
Baadhi ya Marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakishiriki Mkutano wa Ndani kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama.
📍Arusha
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amepokea kijiti cha kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutoka kwa Rais wa Kenya, William Ruto.
Hatua hiyo imetangazwa katika Mkutano wa Kawaida wa 25 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo unaoendelea katika (AICC) Arusha
Wadau mbalimbali wakiwemo vijana, wakishiriki katika kongamano la vijana kuhusu hifadhi na usimamizi wa mazingira, linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Juni 3, 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025, amepanda mti katika maeneo ya ukumbi wa mikutano wa maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ikiwa ni ishara ya kuunga mkono juhudi za uhifadhi wa mazingira.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linakuletea matangazo mbashara ya kongamano la vijana kuhusu hifadhi na usimamizi wa mazingira, linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa maktaba mpya ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam leo Juni 3, 2025.
Kocha Eric ten Hag ametua Bayer 04 Leverkusen, akirithi mikoba ya Xabi Alonso.
Ten Hag amesaini mkataba wa miaka miwili ambapo ataitumikia timu hiyo mpaka mwaka 2027.
Ikumbukwe Hag anachukua mikoba ya Xabi Alonso aliyetimkia Real Madrid.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika zimemalizika huku Simba wakiwa mbele kwa bao moja.
HT:Simba SC 1-0 RS Berkane (Agg: 1-2)
Unawashauri nini kuelekea dakika 45 za kipindi cha pili?.
Huduma zetu China zimekuwa kwa kasi kubwa. Simba wa Bahari tunazidi kurahisisha huduma kwa mteja wetu kila siku.
Haya ni mawasiliano yetu ukifika Airport. Ukipiga namba hizi, utapokelewa Aiport, na address zetu za kutufikishia mizigo katika Warehouse zetu
+255 746 813 813
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema ili kudhibiti janga la njaa na umasikini pamoja na kuharakisha maendeleo vijijini, ni vema mataifa kushirikiana kwa kuwa masuala hayo ni janga la linalovuka mipaka ya nchi.