Mlinitukana niliposema Msimbazi kunawaka moto, vikao havijasaidia kupata suluhu na sasa wameanza kupeana matusi mazito hadharani. Huyu jamaa anajikutaga ni James Bond wa mpira wa Tanzania. Shida sio kanuni wala meneja. Watu wanaogopa kikosi cha Yanga. Nimelia mimi leo. 😂🥹🥲
#TANZANIA:UN YAITAKA TANZANIA KUSITISHA UTEKAJI WA WAPINZANI NA WANAHARAKATI
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa matukio ya utekaji wa lazima na mateso yanayowalenga wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania.
Wameitaka serikali kusitisha mara moja mbinu hizi za ukandamizaji, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
“Kudhibiti uhuru wa vyombo vya habari na kuwatisha waandishi wa habari pamoja na watetezi wa haki za binadamu hakukubaliki. Tumeshangazwa na taarifa za mwenendo wa ukandamizaji kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania,” walisema wataalamu hao.
Wito huu umetolewa kufuatia kutekwa kwa mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na mwandishi wa habari kutoka Uganda, Agather Atuhaire, huko Dar es Salaam tarehe 19 Mei 2025.
Inadaiwa kuwa wote wawili waliteswa, walidhulumiwa kingono na kisha kuachiwa baada ya siku kadhaa.
Wataalamu hao pia walibainisha kuwa zaidi ya matukio 200 ya utekaji wa lazima yameripotiwa tangu mwaka 2019, yakihusisha hasa wapinzani wa serikali, waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu.
Wameitaka serikali ya Tanzania kusitisha kabisa vitendo hivyo na kuwawajibisha wote wanaohusika.
Wataalamu hao wa UN wanaitaka serikali ya Tanzania kuacha kuficha taarifa kuhusu waliokamatwa na kuhakikisha wahusika wote wa ukiukwaji huu wa haki za binadamu wanachukuliwa hatua za kisheria.
Kama miaka mitatu wamekopa trilioni 50.
Ukiangalia miradi yote mikubwa kama SGR imesimama wakandarasi wanadai na wameondoka site.
Nchi nzima napokea malalamiko ya wakandarasi kufirisika kwasababu ya kutolipwa madeni na serikali.
Hivi fedha zimekwenda wapi na itakuwaje hawa watu wakipata hata miezi sita mbele!!!!
TAARIFA KWA MAKANISA YA UFUFUO NA UZIMA DUNIANI KOTE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI NA WAPENDA HAKI WOTE NDANI NA NJE YA NCHI🚨🚨🚨
USIKU HUU POLISI WAKIWA NA DIFENDA TATU WAMEVAMIA KANISA LA ASKOFU MKUU DR. JOSEPHAT GWAJIMA.
The Labour Party will pay a heavy price at the next general election. Everyone I speak to (including Labour voters) detests the Labour government. Snake oil salesmanship & punishment politics. And in particular, Keir Starmer lecturing us like we are naughty schoolchildren.
VIDEO:
Mbunge wa jimbo la Kisesa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Luhaga Joelson Mpina amesema kuwa watu wote wanaoikosoa na kuishauri serikali wasizuiliwe huku akikemea vikali matukio ya utekaji.
"Our world is composed of givers and takers. The takers may eat better, but the givers sleep better. In death, as in life, Mwalimu Nyerere sleeps better. For his entire life was a life of giving, not taking".
~ Benjamin William Mkapa
#NyerereDay2022#NyerereDay#DearNyerere