Workers at a certain organisation hapo JKIA. Naskia salary ni peanuts na crazy long working hours na watu wa kwenu na mbogi ya mtaa inajua unafanya kazi International Airport. Hakuna union ya Airport Workers ama @KenyaAirports na @CAA_Kenya hawajali juu wanataka kuuza Airport?