WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali.
Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe.
LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana.
Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo.
Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza โtulikubaliana kutokubalianaโ. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.
#TANZANIA: HII NI PROPAGANDA KAMA WALIVYOFANYA KWA WAKATOLIKI FEKI, CHADEMA HII NI TISHIO KWA WATAWALA - ASHURA
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud leo Julai 14, 2026 amesema yanayoendelea kuhusu John Heche, Makamu Mwenyekiti wao Bara kuwa ni propaganda kama ile ya Wakatoliki feki iliyolenga kumchafua Padre Charles Kitima na Kanisa Katoliki.
Aidha, Ashura ameongezea kwa kusema madai ya Katiba mpya na mapokeo yake kwa wananchi yameitishia serikali hii na kwamba imewapa mshtuko ndio maana wanawatuma watu kuchafua viongozi hasa Heche ambaye amegeuka mwiba kwa serikali hii kutokana na msimamo wake baada ya Mwenyekiti wao, Tundu Lissu kuwekwa mahabusu kutokana na tuhuma za uhaini zinazomkabili.
Zaidi: https://t.co/XdeO3OEyMe
#TANZANIA: CHADEMA KANDA YA KATI YAKUSANYA USHAHIDI WANAOTUMA FEDHA KWA WANACHADEMA ILI KUMUHUJUMU HECHE NA CHADEMA
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud leo Julai 14, 2026 akizungumza na Wanahabari amesema wamefanikiwa kuwanasa wote wanaotuma fedha kwa baadhi ya wana CHADEMA na baadhi ya Viongozi ili kuwashawishi kuihujumu CHADEMA na kumchafua Makamu Mwenyekiti wao, John Heche.
Aidha, Ashura amesema wamekabidhi ushahidi wote wa video, picha na miamala ya simu kwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Wakili Msomi Dkt. Rugemeleza Nshala kwa hatua zaidi za kisheria dhidi ya hao watu wanaowalaghai wafuasi wao.
Zaidi: https://t.co/XdeO3OEyMe
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, who has spent more than a year in prison on treason charges for which he could face the death penalty.
He survived an assassination attempt in 2017 when he was shot 16 times.
๐ฅ Full film: https://t.co/WRWXi1oWur
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
โ๏ธBREAKING: The Egyptian FA have released a statement claiming they "cannot remain silent regarding the referee decisions" following their defeat to Argentina in the World Cupโผ๏ธ
๐จ๐ฃ Ricardo Quaresma:
"This is the most Corrupt World Cup I've ever seen. There is clear match fixing going on, but Infantino is doing nothing about it, He should be ashamed of himself." ๐ค
โ๏ธ ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: the FBI has found MAJOR Evidence showing that Argentina has been Bribing Referees in the FIFA World Cup. โผ๏ธ
โ๏ธIf Argentina are found guilty of Fraud & Bribery, they could get Disqualified from the entire tournament.โผ๏ธ
๐จ ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: Authorities have investigated Francois Letexierโs bank account, they discovered that in the last 24 Hours, He received a Mysterious Payment of Over 500,000 Dollars๐ณ
This was right before he Refereed Argentina's Match against Egypt. ๐ค