@The_Mizani Mimi bi mkubwa aliniambia ukiota ndevu ndio utaacha kuosha vyombo nilipo ota akaniambia ukioa ndio utaacha nimeoa akaniambia aiwezekani uje kwangu nikupikie na vyombo nikuoshee R.I.P MOM
@prossoff Hakuna kazi isio na mwisho kuna hizo kazi unazo sema za ufundi kama ujenzi na ac kuna watu nawajua ni wazee kweli kweli ila bado wanafanya ukishajijengea jina basi unachukua kazi vijana wanafanya niambie kazi ipi unaeza kufanya mpaka mwisho wa maisha yako hata kama utakua mgonjwa