@_Tajiri__@assengajrr Jibu rahisi mkuu usikaze fuvu mpaka anamiliki hzo it means anauwezo wa kuzihudumia na maisha yake mengine yanasonga inawezekana vp uwe tajiri na migar mingi alaf haikuingizii chochote.
@SSanga60156@EngMapundajr Hicho ni kifungu cha 160 cha sheria ya ndoa cap.23 R.E 2023 mkiish na mwanamke kuanzia miaka miwili na kuendelea sheria ina presume ni kam wanandoa
@SaumuYanga@Alphared_11@xlusako Ndio kwa akili ya kawaida it means wateja wapo man abood kutoa chuma kuanzia saa 11 alfajir mpak saa6 ucku sio kitu kidogo ina mzunguko upo
@SaumuYanga@Alphared_11@xlusako Mana mfano mm sio mkaaj wa Tanga sana lakin atleast sasa hv mabadiliko unayaona mjini pale panajengwa uzungun pale,karib na NBC nasikia kun supermarket ya wachina wamefungua bomba la mafuta ECOAP limechangamsha jiji ,kampun za mabasi mfano kam ABOOD ,KSK,SHABIBY zote zipo Tanga