Hii ni baina ya tz na mataifa mengine, Endapo tungekuwa hatuna rasilimali basi ingekuwa better kwetu kuendelea na haya ila kwa utajiri wa rasilimali tulizonazo tusithubutu kuihatarisha Tz kwenye hili.
"Vita ya kiuchumi ni mbaya"
Tanzanians please don't
Ninaiona hatari kubwa juu ya haya yanayoendelea endapo yakiendelea.
-Tanzania itapigwa ban kwenye maeneo mengi ya ushirikiano na unions pamoja na mataifa mengine.
-Missery ya bidhaa itapelekea vitu kupanda bei sana (inflation)
-Taifa litagawanyika zaidi(hatutawaliki)
Mungu atunusuru na atupe mwongozo mpya kwenye vichwa vya watanzania wengi, Nchi ikipita katika hali kama hii yetu ndio kipindi cha kutumia akili zaidi ya kunusuru taifa kwanza maana hapa tulipo tupo kwenye rada za vita ya kiuchumi sio ile ya ndani tuliyonayo siku zote